MBINU ZA KUOMBEA NDOTO ILI USIKWAME KIMAISHA
SEMINA YA NENO LA MUNGU NA MWL MWAKASEGE. UWANJA WA TANGAMANO TANGA 5 JUNE 2017 SOMO MBINU ZA KUOMBEA NDOTO ILI USIKWAME KIMAISHA. Siku ya Kwanza.
SEMINA YA NENO LA MUNGU NA MWL MWAKASEGE. UWANJA WA TANGAMANO TANGA 5 JUNE 2017 SOMO MBINU ZA KUOMBEA NDOTO ILI USIKWAME KIMAISHA. Siku ya Kwanza.
Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
14 Nami nitawarejeza tena watu wangu Israeli waliohamishwa, nao wataijenga miji iliyoachwa maganjo, na kukaa ndani yake; nao watapanda mizabibu katika mashamba, na kunywa divai yake; nao watafanyiza bustani, na kula matunda yake.
Kuna mambo ambayo huwa yanatokea kwenye maisha yetu na tunabaki kujiuliza yanasababishwa na nini, na mengine yamegeuka kuwa sehemu ya maisha yetu.