KUOTA UMELALA CHUMBA KIMOJA NA MTU ALIYEKUFA

uliza ujibiweCategory: GeneralKUOTA UMELALA CHUMBA KIMOJA NA MTU ALIYEKUFA
Emmy asked 7 months ago

Nimeota mimi na mtoto wangu mdogo(miaka 7)wa kiume tumelala chumba kimoja vitanda tofauti bali katika kitanda kingine kuna maiti, ila sikujua ni yanani. Tafadhali naomba msaada wa kujua maana ya ndoto hii

Your Answer