mahusiano

Colman Gozbert asked 5 days ago

Bwana Yesu Asifiwe,
nipo katika mahusiano na msichana ambaye naamini ni mpango wa Mungu kuwa nae na kufikia kufunga ndoa. swali langu kama vijana ambao tunapitia changamoto nyingi twawezaje kuishi kulingana na neno la Mungu kuweza kufikia lengo la kufunga ndoa?

1 Answers
Elizabeth answered 5 days ago

Kwanza Neno la Mungu likae kwa wingi ndani yako maana ndiyo silaha lina vifungu vyote vya maisha ya mwanadamu Ili uweze kuzishinda changamoto ishi na hofu ya Mungu ikiwa ndani yako, Roho Mtakatifu Akuongoze Lakini Neno la Mungu linasemaje! Zab.119:9 Mpango wa Mungu sio mahusiano mpango ni mke na mume kwahiyo Mahusiano hayana ruhusa ya kukufanya uchafue ujana wako .kwahiyo hata kama mko kwenye mahusiano usikubali shetani atumie mwanya huo ukamkosa Mungu .

Your Answer