mtu-aliyeokoka-kuendelea-kuora-ndoto-ya-kufanya-mapenzi-asimwone-afanyae-nae-bali-hushtuka-anopomaliza-tendo-maana-yake-ni-nini

uliza ujibiweCategory: Bible Studymtu-aliyeokoka-kuendelea-kuora-ndoto-ya-kufanya-mapenzi-asimwone-afanyae-nae-bali-hushtuka-anopomaliza-tendo-maana-yake-ni-nini
mkini charles asked 6 months ago
1 Answers
Jackson Mwankenja answered 5 months ago

Kwa mchango wangu katika uchache wa kumfahamu Mungu, ni kwamba mtu akiokoka haimaanishi tayari amemaliza yote yanayompasa kataika kristo.  bado anakuwa na safari ya kufika kalvali ambapo Bwana Yesu anasema yote imekwisha. Mfano mzuri Bwana wangu Yesu alipomfufua Lazaro , Lazaro alitoka kaburini na sanda na akasema mfungueni sanda, hii inamaanisha kuokoka ni kutangawiziwa tu maisha mapya ila bado itakubidi kuomba na kuzidi kutembea katika uaminifu ili kuachilia tabia zote chafu za awali ambazo zingine ulikuwa umefungwa rohoni. Na mwisho tabia yeyote inajengwa kidgo kidogo na pia inabomolewa kidogo kidogo. Mbarikiwe enyi nyote.

Your Answer