najingata-nikila

uliza ujibiweCategory: Bible Studynajingata-nikila
Juliet asked 9 months ago
1 Answers
Munguatosha answered 4 months ago

Yapo mambo ambayo Ktk hali ya kawaida tunakutana nayo. Mfano, kusikia njaa, kusikia kiu, kuchoka, nk. Mambo haya kama kujing,ata unapokula kama mwanadamu mwingine unaweza kukutana nayo kama hayakufanyi umkosee Mungu wala yasikupe kuwaza. Kumbuka Yesu aliona njaa, Yesu alihuzunika nk katika yote hakumkosea Mungu. Tusipende kila jambo kulipa tafsiri maana yule mwovu anaweza kupitia tafsiri hizo akakudanganya ukamkosea Mungu. Yesu alipokuwa na njaa mwovu alimjia akataka ageuze mawe kuwa mkate, ila Yesu alijua hila iliyopo kwenye hiyo tafsiri na alikataa . Mungu akubariki nawe uwe baraka.

Your Answer