Naomba kupata majibu kwenu

uliza ujibiweCategory: Bible StudyNaomba kupata majibu kwenu
Vaileth asked 2 years ago

Wapendwa katika Yesu Kristo Shalom, naomba kupata majibu kwenu kwamba nimesoma habari za kuenea kwa injili hapa Tanzania na kwingineko.Mfano hapa Tanzania hatuna miaka mingi sana ya kuenea kwa injili ni kama miaka mia hivi na ushee.Swali, je wale wote waliokufa kabla ya kuipata hii nuru ya Injili watahukumiwaje wao kama hawakusikia kabisa habari za Yesu na matendo yake? Vipi kuhusu maandiko juu ya hili? Mbarikiwe.

Your Answer