Tenzi za Rohoni – 42

Bonyeza hapa kurudi kwenye Orodha kuu ya Tenzi

KIVULINI MWA YESU

1.Kivulini mwa Yesu kuna Kituo:
Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu.

Kivulini mwa Yesu kuna kituo;
kivulini mwa Yesu kuna kituo;
Raha tu, mle; amani tupu,
Furaha tele; kivulini mwa Yesu
Raha tu, mle; amani tupu,
Furaha tele; kivulini mwa Yesu.

2. Kivulini mwa Yesu nina amani
Iliyopita fahamu, tena itakayodumu.

3.Kivulini mwa Yesu, nina furaha;
Furaha yenye fahari, ya kueneza habari.

Bonyeza hapa kurudi kwenye Orodha kuu ya Tenzi