Ufalme wa Mungu Kwanza ( U M K ), tunauza T-shirt , Vitabu, Biblia na Tenzi za rohoni kwa bei ya jumla na reja reja.

Endelea.....

Latest posts

UHURU WA KULA MATUNDA YA KILA MTI (Freedom of access)

Mwanzo 2:16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, And the LORD God commanded the man, “You are free to eat from any tree in the garden; Mungu […]

JINSI SHETANI ANAVYOTUMIA HOFU KUKUANGAMIZA

Ayubu 3 : 25 “ Maana jambo hilo nichalo hunipata, Nalo linitialo HOFU hunijilia”. Shetani kwa asili alishashindwa asilimia mia moja na wana wa Mungu. Lakini yeye anachokifanya anatumia SIRAHA YAKE INAYOITWA HOFU ili kukuangamiza. […]

USHAURI WA BURE

Mathayo 6 : 31 – 33 MSISUMBUKE, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini? Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote. […]