Ufalme wa Mungu Kwanza ( U M K ), tunauza na ku-print T-shirt , tunauza Vitabu, Biblia na Tenzi za rohoni kwa bei ya jumla na reja reja. pia tunatoa huduma ya ku-print mabango, Business cards, vipeperushi,Stickers, IDs, kofia N.K........

Endelea.....

Latest posts

USHAURI WA BURE

Mathayo 6 : 31 – 33 MSISUMBUKE, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini? Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote. […]

KODI YA MUNGU – ( ZAKA )

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA NANE : KODI YA MUNGU – ( ZAKA ) Malaki 3:8-10 8 Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Hata hivyo mnaniibia. ‘‘Lakini mnauliza, ‘Tunakuibia kwa namna […]

UFALME WA MUNGU UMO NDANI YENU.

20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, UFALME WA MUMGU utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, UFALME WA MUNGU hauji kwa kuuchunguza; 21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, UFALME WA MUNGU umo ndani yenu. […]