Jibu maswali yote kumi kisha bofya kitufe cha “Tuma majibu” hapo chini kisha utapata matokeo yako hapa hapa.

Please enter your email:

1. Yesu Kristo alizaliwa wapi?

 
 
 
 

2. Kwanini mfalme Herode aliwambia mamajusi waende wakaulizie mambo ya mtoto Yesu Bethelehem

 
 
 

3. Zawadi gani mamajuzi walimtolea Yesu baada ya kumuona amezaliwa Bethelehem?

 
 
 

4. Unafikiri kwanini Yusufu aliambiwa na malaika aondoke na mtoto Yesu na akimbie naye Misri?

 
 
 

5. Ni nyika zipi Yohana mbatizaji alikuwa anahubiri? Na ni maneno gani alikuwa anasema?

 
 
 

6. Vazi gani Yohana alikuwa amelivaa wakati anahubiri habari njema?

 
 
 

7. Chakula gani Yohana mbatizaji alikuwa anakula?

 
 
 

8. Ubatizo gani Yohana alikuwa anabatiza watu na alitumia nini kubatiza?  Yesu alibatiza ubatizo wa aina gani na alitumia nini kubatiza?

 
 
 

9. Unafikri kwanini Yohana alitaka kukataa kumbatiza Yesu?

 
 
 

10. Kitu gani kilitokea baada ya Yesu kubatizwa?

 
 
 

Biblia ni sauti ya Mungu iliyoifadhiwa kwenye maandishi. Sauti hii i hai hata leo ikifanya kazi ya kutufundisha,kutuonya makosa yetu,kutuongoza  katika njia ipasayo kuiendea na kutuadabisha katika haki (2 Timotheo 3:16). Hivyo basi biblia ni makusanyo ya vitabu vitakatifu vilivyohifadhi sauti ya Mungu. Na kwa sababu biblia inatupa muongozo mzuri wa namna ya kumlingana Mungu kwanza kwa kumpokea Yesu Kristo,kupitia hilo na ndio maana wengine husema kwamba biblia ni katiba ya mbinguni. Karibu tujifunze Biblia kwa njia ya maswali.