About Us

Ufalme wa Mungu Kwanza ( U M K ) tunauza  na ku-print T-shirt ,
tunauza Vitabu, Biblia na Tenzi za rohoni kwa bei ya jumla na reja reja.
pia tunatoa huduma ya ku-print, mabango, Business cards,
vipeperushi,Stickers, IDs, kofia N.K.