JINSI SHETANI ANAVYOTUMIA HOFU KUKUANGAMIZA

Ayubu 3 : 25 “ Maana jambo hilo nichalo hunipata, Nalo linitialo HOFU hunijilia”. Shetani kwa asili alishashindwa asilimia mia moja na wana wa Mungu. Lakini yeye anachokifanya anatumia SIRAHA YAKE INAYOITWA HOFU ili kukuangamiza. […]

USHAURI WA BURE

Mathayo 6 : 31 – 33 MSISUMBUKE, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini? Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote. […]

KODI YA MUNGU – ( ZAKA )

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA NANE : KODI YA MUNGU – ( ZAKA ) Malaki 3:8-10 8 Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Hata hivyo mnaniibia. ‘‘Lakini mnauliza, ‘Tunakuibia kwa namna […]

UFALME WA MUNGU UMO NDANI YENU.

20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, UFALME WA MUMGU utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, UFALME WA MUNGU hauji kwa kuuchunguza; 21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, UFALME WA MUNGU umo ndani yenu. […]

JESHI LA UFALME WA MUNGU

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA SABA : JESHI LA UFALME WA MUNGU. Zaburi 34:7 “MALAIKA wa BWANA hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.” Unapookoka unaingia kwenye UFALME WA […]

WAKILI WA SERIKALI YA MBINGUNI

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA SITA : WAKILI WA SERIKALI YA MBINGUNI. Watoto wangu wapendwa, nawaandikieni haya ili msitende dhambi. Lakini kama mtu ye yote akitenda dhambi, tunaye Mwombezi […]

LUGHA YA MBINGUNI

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA NNE : LUGHA YA MBINGUNI. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa LUGHA mpya; ( Marko 16 […]