URAIA WA MBINGUNI

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA PILI : URAIA WA MBINGUNI. Jambo la pili na la muhimu kujua kuhusu Ufalme wa Mungu ni URAIA WA MBINGUNI.   Kwa maana sisi, […]

KATIBA YA UFALME WA MUNGU

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA KWANZA : KATIBA YA UFALME WA MUNGU. Tumezaliwa na kukulia kwenye jamii zenye mitazamo ya kidini, kwa hiyo imekuwa ni vigumu sana kuelewa na […]

TAHADHARI!! CHUNGA SANA KINYWA CHAKO

Bwana Yesu asifiwe, Tunaelekea kuanza mwaka mpya 2018 nimeona nitoe tahadhali kwako wewe unayesoma ujumbe huu, tahadhali yenyewe ni kuhusu yale maneno unayoyatamka pale mwaka unapoanza au kukaribia kuanza. Maneno unayoyatamka pale tu mwaka unapoanza […]

Adui yako ni nani?

Adui yako mkuu siyo shetani wala siyo dhambi, ila ni ujinga. Ujinga ni kutokujua, Ujinga ni ukosefu wa maarifa. Mungu anasema hivi “watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa“(Hosea 4:6), Mungu hakusema watu wangu wanaangamizwa na […]

Usiogope

Hofu ni hisia / hali ya mashaka na wasiwasi ambayo hujengeka ndani ya akili ya mtu, pale anapofikiri kuwa jambo fulani baya laweza kutokea. Hofu ni imani batili, ni kuogopa mambo yaliyopita, yaliyopo au yajayo. […]

SOMA HII ITAKUSAIDIA

Kuna mambo ambayo huwa yanatokea kwenye maisha yetu na tunabaki kujiuliza yanasababishwa na nini, na mengine yamegeuka kuwa sehemu ya maisha yetu. Nimefatilia na nikagundua watu wengi wanaishi maisha magumu na ya umaskini kwa sababu […]