Mafundisho

MATUMIZI YA IMANI KWENYE UFALME WA MUNGU

Mathayo 21 : 21 – 22 21 Yesu akajibu, akawaambia, Amin, nawaambia Mkiwa na IMANI, msipokuwa na shaka, mtafanya si hilo la mtini tu, lakini hata mkiuambia mlima huu, Ng’oka, ukatupwe baharini, litatendeka. 22 Na yo yote mtakayoyaomba katika sala MKIAMINI, mtapokea. Mwanadamu amekuwa ni kiumbe pekee aliyeumbwa na Mungu ambaye anaishi maisha magumu, ya…

Read More...

LUGHA YA MBINGUNI

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA NNE : LUGHA YA MBINGUNI. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa LUGHA mpya; ( Marko 16 : 17 ). Biblia sio kitabu cha kidini kwasababu imebeba Agano. Agano maana yake ni (mkataba). Biblia ina Agano la…

Read More...

MWANASHERIA MKUU WA MBINGUNI

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA TANO : MWANASHERIA MKUU WA MBINGUNI. Luka 12:11-12  Watakapowapeleka katika masinagogi mbele ya watawala na wenye mamlaka, msiwe na wasiwasi kuhusu namna mtakavyojitetea au mtakavyosema: 12 Kwa maana ROHO MTAKATIFU atawafundisha wakati uo huo mnachopaswa kusema.”  Kabla ya wakoloni kuja kuitawala Afrika kwanza walituma…

Read More...

WAKILI WA SERIKALI YA MBINGUNI

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA SITA : WAKILI WA SERIKALI YA MBINGUNI. Watoto wangu wapendwa, nawaandikieni haya ili msitende dhambi. Lakini kama mtu ye yote akitenda dhambi, tunaye Mwombezi kwa Baba, YESU KRISTO Mwenye haki. 1Yohana 2:1 My dear children, I write this to you so that you will…

Read More...

JESHI LA UFALME WA MUNGU

MAMBO 15 MUHIMU UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU UFALME WA MUNGU. JAMBO LA SABA : JESHI LA UFALME WA MUNGU. Zaburi 34:7 “MALAIKA wa BWANA hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.” Unapookoka unaingia kwenye UFALME WA MUNGU na huko unakutana na MAJESHI YA UFALME ambao ni MALAIKA WATAKATIFU.  MALAIKA ni POLISI WA UFALME na pia ni…

Read More...

UFALME WA MUNGU UMO NDANI YENU.

20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, UFALME WA MUMGU utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, UFALME WA MUNGU hauji kwa kuuchunguza; 21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, UFALME WA MUNGU umo ndani yenu. Unapoingia katika UFALME WA MUNGU jambo la kwanza ambalo Mungu anaanza kushughulika nalo kwako ni kubadili jinsi ya kufikiri kwako,…

Read More...